Kutoka Tsh0 hadi Tsh2OM+ kwa kutafsiri Kiswahili mtandaoni - Part 1
Kuna la kujifunza kwenye pilika pilika zangu za kutafuta furusi za mkoloni na kwenye andiko hili nimeshare safari yangu kutoka Tsh o yangu ya kwanza hadi Tsh 20,000,000+ kwa kutafsiri kiswahili tu.