Habari mwana REMOTIKA.
Baada ya session yetu ya YouTube Automation kwenye REMOTIKA MONDAY SERIES, nimepokea ujumbe na maswali kutoka kwa baadhi yenu waliotaka kujifunza zaidi na kupata mfumo wa kufuata hatua kwa hatua.
Kwenye live session nilijaribu kushare kwa uwazi experience yangu, nilichojifunza kwenye safari yangu ya YouTube Automation, opportunities zilizopo na pia realities ambazo mtu anatakiwa kuzijua kabla hajaingia.
Lakini session moja haiwezi kubeba kila kitu.
Ndiyo maana kwa wale ambao wanataka kwenda hatua inayofuata, nimeamua kutoa access maalum kwa wana REMOTIKA kwenye YouTube Automation Masterclass yangu ya Recorded Video Course.

Hii ni course unayoweza kujifunza kwa muda wako mwenyewe, kurudia lessons pale inapohitajika na kutumia kama guide unapojenga channel yako.
Ndani yake tunakwenda zaidi kwenye maeneo kama kuchagua niche, kupanga channel, kutengeneza content, kuelewa workflow ya YouTube Automation na namna ya kujenga channel yenye nafasi ya kukua na kufikia monetization.
Kwa wana REMOTIKA, nimeweka bei maalum ya:
TSh 40,000 tu.
Hii si offer ninayotaka kila mtu aikimbilie.
Kama ulifuatilia session yetu na ukaona YouTube Automation ni kitu ambacho unataka kukijifunza kwa umakini zaidi, basi Masterclass hii inaweza kuwa hatua yako inayofuata.
Kutokana na maombi niliyopokea kutoka kwa baadhi ya wana REMOTIKA, nimeongeza muda wa offer hii hadi Ijumaa, 18 September 2026, saa 12:00 jioni.
Ukitaka kujiunga, nitumie WhatsApp kupitia 0712 988 589 na uandike neno: “REMOTIKA”
Nitakutumia utaratibu wa kupata access.
Asante tena kwa kunipa nafasi ya kushare knowledge yangu kwenye REMOTIKA MONDAY SERIES.
Na hata kama hautajiunga na Masterclass, jambo moja ningependa ubaki nalo kutoka kwenye session yetu ni hili:
Usianze YouTube Automation kwa sababu umeona watu wanapata pesa. Anza kwa kuelewa business model, kujenga skill na kuwa tayari kufanya kazi kwa consistency.
Tutaonana kwenye hatua inayofuata.
Ally Msangi