Una ujuzi(skills) lakini bado hupati wateja wa kazi za mtandaoni? Hili ni tatizo linalo wakumba Watanzania wengi.
Ukweli ni kwamba kupata wateja mtandaoni si suala la kuwa na ujuzi(skill) pekee. Ni suala la kujua namna ya kuuza, kuwasiliana na watu sahihi, na kujenga mahusiano yanayoweza kubadilika kuwa kazi zinazolipa.
Katika makala hii, utaona hatua za vitendo unazoweza kuanza kutumia leo ili kuongeza nafasi za kupata wateja wa kazi za mtandaoni ukiwa Tanzania.
1. Tengeneza taswira nzuri Kabla ya Kuanza Kutafuta wateja
Makosa makubwa ambayo freelancers wengi hufanya ni kuanza kutafuta wateja kabla hawajajitayarisha.
Jiulize:
Ukipewa mteja leo, unaweza kumuonyesha kazi gani ulizowahi kufanya?
Kurasa zako za wasifu(Profile) mtandaoni zinaonyesha nini?
Mtu akikutafuta Google au LinkedIn ataona nini?
Subscribe to Default to read the rest.
Become a paying subscriber of Default to get access to this post and other subscriber-only content.
Upgrade